Monday 20 November 2017

MAHAKAMA YA JUU NCHINI KENYA YAMHALALISHA UHURU KENYATTA; KUAPISHWA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA


 Image result for UHURU KENYATTA
Rais Kenyatta sasa anatarajia kuapishwa kuwa Rais kwa muhula wa pili baada ya Mahakama ya Juu kufutilia mbali kesi ambazo zilikuwa zinapinga ushindi wake katika uchaguzi wa marudio uliofanyika tarehe 26 Oktoba.
Kifungu 141(1b) cha Katiba ya Kenya kinasema Rais anafaa kuapishwa siku ya saba inayofuata siku ya kutolewa kwa uamuzi wa mahakama wa kuidhinisha uchaguzi iwapo kulikuwa na kesi iliyokuwa imewasilishwa.
Rais kwa mujibu wa katiba anafaa kuapishwa hadharani mbele ya Jjai Mkuu au Naibu Jaji Mkuu.

No comments:

Post a Comment

KASUMBAI