Friday 17 November 2017

NAWEKA MIA NANE: DR LUIS ATOKA LOCKUP NA KUSEMA HAYA

 




Kila Mtanzania aliesikia Dr. Luis Shika akijieleza kwamba yeye sio Mbabaishaji na kwamba alisoma, kuishi na kumiliki Kampuni kubwa Urusi, ametamani kupata angalau uthibitisho wowote kama ni kweli Daktari huyu.Mtanzania ambae amekua akisoma na kuishi Russia kwa miaka mingi, anasema alichosema Dr. Luis kuhusu maisha yake ya Russia na kampuni yake ni kweli… bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo hadi mwisho

VIDEO: DR. LUIS ANENA BAADA YA KUTOKA POLISI, “WHAT DO THEY MEAN”

MZEE WA 900 ITAPENDEZA ASEMA SIO MBABAISHAJI KAMA TUNAVYO FIKIRI: BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

No comments:

Post a Comment

KASUMBAI